
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea Balozi Nchimbi ofisini kwake, leo Jumatatu tarehe 24 Februari 2025.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...