KUPITIA mchezo wa kasino wa Super Heli wanakujia na promosheni ya kibabe inayofahamika kama mvua ya kifalme (Royalty showers) ambapo itawawezesha wateja wa mchezo huo kushinda beti za bure na mkwanja wa kutosha.
Wakati huu ambao mchezo wa Kasino wa Super Heli umekua kivutio kikubwa kwa wadau wa michezo ya kasino na ndio wakati Meridianbet nao wamekuletea promosheni yao kabambe kupitia mchezo huu ili uweze kujishindia maokoto kiulaini kabisa.
Promosheni hii itachukua muda wa siku 25 kwani imeanza mwezi huu Febuari 3 mpaka Febuari 28 ndio itakua mwisho wa promosheni hii ambayo itakua inahusu mchezo matata wa kasino unaofahamika kama Super Heli.
Mvua ya kifalme itanyesha kila siku ambapo wachezaji kumi wa mwanzo wataweza kushinda beti za bure kila awamu, Kushinda beti za bure kila awamu kupitia promosheni hii itaweza kukusaidia kushinda mamilioni kwani kupitia beti za bure unaweza kutengeneza kitita cha kutosha.
Inafahamika kua wachezaji pekee waliojisajili kupitia tovuti ya Meridianbet ndio wataruhusiwa kushiriki promosheni hii na kuweza kushinda, Hivo ili uweze kua mshiriki na mshindi halali wa prpmosheni hii kabambe kwasasa ni kuhakikisha unajisajili na Meridianbet.
Kila wikiendi michezo tofauti tofauti itakua inaendelea kwenye ligi mbalimbali barani ulaya hivo ni nafasi kwako ya kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye machaguo zaidi ya 1000.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...