Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 14 Februari, 2025 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Pamoja na mambo mengine pia Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika
Home
HABARI
RAIS SAMIA AWASILI NCHINI ETHIOPIA KUSHIRIKI MLUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...