

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijimuika na Viongozi wa Jamaat la Shia Ismailia Zanzibar katika kuitikia dua baada ya kusaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani na Mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Prince Karim Al -Hussaini Aga Khan IV, aliyefariki dunia jumanne 4-2-2025, jijini Lisbon Ureno, alipofika katika jamaat la Shia Ismailia Zanzibar Hurumzi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025 kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezi, ikisomwa na Mukhi Murad Vellani.
(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...