Mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Naamini Yonazi akiongea na wasichana wanaofanya mafunzo ya Code like a Girl yanayofadhiliwa na kampuni hiyo kupitia asasi ya dLab jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ikiwa ni muendelezo wa programu hiyo yenye lengo la kuleta fursa kwa wasichana kujifunza na kukuza ustadi wa kidijitali, ikiwa ni hatua muhimu ya kuhakikisha wasichana wanajikita zaidi katika masomo ya Tehama.
Mkuu wa idara ya Rasilimali watu Sorayya Shareef akitoa vyeti kwa wanafunzi walioshiriki katika programu hiyo.
Wanafunzi wakiwasilisha kazi zao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...