Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wa Afrika Mashariki (EACOP), Bw. Philippe Groueix, Kando ya Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi unaozihusisha nchi za Afrika Mashariki unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, JNICC, Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa EACOP, Bw. Guillaume Dulout.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Fedha, Dar es Salaam)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...