Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na
wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 05 Machi, 2025.
Viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 05 Machi, 2025.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...