Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa NACTVET Dkt. Jofrey Oleke kuhusiana na  mpango wa NACTVET kutoa ithibati kwa vyuo vya ufundi stadi nchini ili kuwezesha vyuo kurasimisha ujuzi wa mafundi kupitia programu ya Utambuzi wa Ujuzi Uliopatikana Nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) wakati wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati alipotembelea Banda la NACTVET kwenye kilele cha kongamano la Maadhimsho ya  miaka 30 ya VETA linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi NACTVET, Bernadetta Ndunguru, akizungumza na wadau waliotembelea banda la NACTVET kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Machi, 202
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi  NACTVET Bernadetta Ndunguru  akiwa katika picha ya pamoja wakati alipotembelea  banda la NACTVET  kwenye maadhimisho ya miaka 30  ,jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...