Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akizungumza wakati alipokukutana na kufanya mazunguzo na Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng ambaye alifika Wizarani hapo kujitambulisha, jijini Dodoma.Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng, akizungumza wakati alipokutana na kufanya mazunguzo na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiongoza kikao kati yake na Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng, ambaye alifika Wizarani hapo kujitambulisha, jijini Dodoma.Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiagana na Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng ambaye alifika Wizarani hapo kujitambulisha, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban na Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng, wakiongoza ujumbe wa Tanzania na IFAD baada ya kikao ambacho Mkurugenzi huyo alikwenda kujitambulisha, jijini Dodoma. 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha - Dodoma)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...