Baadhi ya Viongozi kutoka taasisi mbalimbali pamoja na waliowahi kushinda taji la Miss Tanzania kwa nyakati tofauti na waombolezaji wakiwa wamewasili nyumbani kwa aliyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania Hashim Lundenga.



Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mheshimiwa Mobhare Matinyi akiwasili na kusaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Hashim Lundenga leo Aprili 21,2025 Mbweni Jijini Dar es Salaam.


Mwili wa aliyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga ukiwasili nyumbani kwake Mbweni Jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Michuzi Media Group, Muhidini Issa Michuzi akishiriki kwenye msiba wa aliyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga leo Aprili 21, 2025 Mbweni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana akitoa salamu za pole kwa familia ya Marehemualiyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga leo Aprili 21, 2025 Mbweni Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...