KATIKA kuendeleza dhamira yake ya kuchangia ustawi wa jamii na kugusa maisha ya Watanzania, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, Meridianbet, imefanya zoezi la kugawa vifaa vya kujifungulia (Maternity Kits) pamoja na diapers kwa watu wazima (Adult Diapers) kwa kina mama waliojifungua katika Hospitali ya Palestina, iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Kampuni hiyo imekuwa mbele kabisa katika suala la kuunga mkono watu mbalimbali wenye uhitaji kila siku na safari hii waliona sio mbaya watoe vifaa vya kujifungulia kwa wanawake wajawazito Sinza ili kujihakikishia kina mama hao wanaweza kujifungua salama. Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Gloves, Diapers, pamoja na taulo za kike.
Zoezi hilo limefanyika leo asubuhi na limeshuhudiwa na wauguzi, wakunga na baadhi ya viongozi wa hospitali, ambapo akina mama waliopokea msaada huo walionekana kufarijika na kushukuru kwa moyo mkunjufu.
Ukiachana na Meridianbet kutoa msaada wa vifaa vya kujifungulia, pia unaweza ukabashiri mechi za UEFA leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwakilishi wa Meridianbet alisema: “Tunaamini kuwa kusaidia katika sekta ya afya, hasa kwa mama na mtoto, ni msingi wa kujenga taifa lenye afya. Vifaa hivi si tu msaada wa vifaa bali ni ujumbe kuwa hatuko kwa ajili ya biashara pekee, bali tunajali ustawi wa jamii yetu.”
Hospitali ya Palestina, kwa upande wao, walitoa pongezi kwa Meridianbet kwa moyo wa huruma na kusaidia kuimarisha huduma kwa wazazi na watoto wachanga. Lakini pia waliongeza kwa kusema kuwa wanafarijika kwa Taasisi kama Meridianbet kuendelea kuonesha moyo wa huruma.
Ikumbukwe kuwa Meridianbet huwa wapo mbele siku zote kusaidia jamii na hii yote ni kuonesha umuhimu wao kwenye kila sekta hivyo na wengine pia wanapaswa kuiga mfano kutoka kwenye Kampuni hii kubwa ya ubashiri.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...