
Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni, imezindua promosheni kabambe inayowapa wateja wake nafasi ya kushinda simu 16 mpya aina ya Samsung A25.
Ili kushiriki, mteja anachotakiwa kufanya ni kuweka pesa na kucheza kuanzia TZS 5,000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu ya nje ya nchi. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuongeza furaha kwenye uzoefu wa kubashiri na kuibuka mshindi wa zawadi ya kifahari!
Maelezo ya Promosheni:
Wanaostahili: Wateja wote waliosajiliwa Meridianbet
Jinsi ya Kushiriki: Weka pesa na cheza angalau TZS 5,000 kila wiki kwenye mechi yoyote ya soka.
Zawadi: Simu 16 mpya aina ya Samsung A25
Muda wa Promosheni: Inaendelea – tembelea tovuti ya Meridianbet kwa maelezo zaidi
Promosheni hii ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet kuwazawadia wateja wake kwa uaminifu wao na kuleta msisimko zaidi katika ulimwengu wa kubashiri. Kupitia mchanganyiko wa burudani, ushindani, na zawadi halisi – Meridianbet inazidi kuwa chaguo la kwanza kwa wapenda michezo ya kubashiri nchini.
NB: JIUNGE NA MERIDIANBET SASA NA UJIPATIE BONASI BAAB KUBWA KATIKA MICHEZO YA KASINO NA SOKA. JISAJILI SASA.
FACEBOOK/INSTAGRAM/TWITTER
Text: 🎉 SIMU MPYA ZINAKUSUBIRI! 📱🔥
Unataka kushinda Samsung A25 mpya kabisaa? Meridianbet inakuletea nafasi ya kipekee kushinda simu 16 za kisasa! 😍
👉 Deposit na cheza kuanzia TZS 5,000 tu kwenye ligi yoyote ya soka kila wiki – na jina lako linaweza kuwa kwenye list ya washindi! ⚽📲
Ni rahisi, ni haraka, na ni fursa yako kubadilisha game yako kwa style ya kibabe! 💥
✅ Tembelea tovuti ya Meridianbet. 🎯 Cheza sasa na ushinde!
#Meridianbet #ShindaNaMeridianbet #SamsungA25 #KubashiriKibabe #Promosheni
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...