Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Peter Ulanga wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) unaofanyika jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akimsikiliza Rais wa ACI Africa Emanuel Chaves walipotembelea banda la Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akisaini kitabu mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Rais wa ACI Africa Emanuel Chaves akisaini kitabu mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...