

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango, Usanifu na Uthamini kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Diana Munubi baada ya kutembelea Bando la Mamlaka hiyo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.


akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Abdul Mombokaleo mara baada ya kutembelea banda la TAA wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...