Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), kando ya Mkutano Mkuu wa mwaka 2025 ambao utakuwa wa 60 wa Bodi ya Magavana wa ADB na wa 51 kwa ADF, unaonza leo tarehe 26 hadi 30 Mei 2025 katika Hoteli ya Sofitel Ivoire, Abidjan, Côte d’Ivoire, na utajumuisha uchaguzi wa Rais na Wakurugenzi Watendaji wa Taasisi hiyo baada ya Rais wake wa sasa, Dkt. Akwinumi Adesina, kumaliza muda wake.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Abidjain, Ivory Coast)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...