KAMA kawaida leo hii ni siku ya kutusua na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo leo hii odds za kijanja zinapatikana hapa. Suka jamvi lako la ushindi na unufaike leo.

Leo hii pale SERIE A Italia kuna mechi mbili kali sana ambazo zinaenda kuamua hatma ya ubingwa wa timu mbili moja kabisa, SSC Napoli watakuwa na kibarua cha kukupiga dhidi ya Cagliari ambao wapo nafasi ya 14. Vijana wa Conte wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi kwa pointi 1 mbele. Mechi iliyopita Naples walitoa sare huku wageni wao wakishinda.

Zinakutana timu mbili ambazo moja inahitaji ushindi kwa hali na mali iweze kubeba taji la Serie A, na ushindi pekee ndio muhimu kwao. Kwa upande wa mgeni yeye hana cha kupoteza siku ya leo. Mara ya mwisho kukutana, vijana wa Antonio Conte waliondoka na ushindi. Je leo hii katika dimba la Armando Maradona Napoli watakuwa mabingwa?. Mechi hii ina ODDS 1.20 kwa 15. Bashiri hapa.

Wakati huo huo Inter Milan atakuwa ugenini dhidi ya Como 1907 ambapo naye anahitaji ushindi kwa hali na mali bila kujali matokeo ya kinara kwa ligi, kwani mpira unadunda huwezi kujua kitakachotea. Inter chini ya kocha mkuu Simone Inzaghi wanashika nafasi ya 2 wakiwa nyuma pointi 1 kwa kinara wa ligi.

Como 1907 chini ya kocha mkuu Cesc Fabregas wao wapo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi huku mechi iliyopita wakitoa sare. Je nani kuodoka na ushindi leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 4.80 kwa 1.68.

Tusua kijanja na wakali wa ubashiri leo, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea leo hii kwa mchezo mmoja ambapo Real Betis Seville watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Valencia CF ambao wanashika nafasi ya 12 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Tofauti yao ni pointi 14 huku mechi ya mwisho kukutana, Betis alipigika. Je leo hii atalipa kisasi akiwa nyumbani?. Mechi hii imepewa ODDS 2.05 kwa 3.55. Jisajili hapa.

Ligi nyingine ya kubashiri siku ya leo hii ni hii ya Austria, BUNDESLIGA ambapo WSG Tirol atakipiga dhidi ya Grazer AK 1902 huku wote hawa wakiwa na pointi sawa kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.75 kwa 2.90. Suka jamvi hapa.

Naye SK Austria Klagenfurt watakuwa wenyeji wa TSV Hartberg ambao hawapewi nafasi ya kushinda mtanange wa leo wakiwa na ODDS 3.25 kwa 2.15. Je beti yako wewe unaiweka wapi hapa kwa timu hizi mbili leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Wakati huo huo Lask Linz atakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya SCR Altach ambao mechi yao iliyopita walitoa sare huku wenyeji wao wakipigika. Hivyo pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili. 2.65 kwa 2.45 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...