LEO ndio leo asemaye kesho muongo, mbivu na mbichi zinaenda kujulikana ambapo zile ligi 3 bora kati ya 5 Duniani zinaenda kumalizika leo. Timu nyingi za ushindi uwanjani. Suka jamvi lako na Meridianbet uibuke bingwa leo.
EPL Uingereza pale kuna mechi za maokoto leo, Nottingham Forest atakipiga dhidi ya Chelsea ambapo The Blues wanahitaji kushinda leo ili kucheza UEFA msimu ujao huku nae Forest akiwa na matumaini hayo hayo. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana, walitoa sare. Je nani kushinda leo?. Mechi hii ina ODDS 3,25 kwa 2.17. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ya kugombani nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa ni hii ya Manchester City ambaye atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Fulham. Vijana wa Guardiola wanahitaji sare tuuh leo kujihikikishia nafasi hiyo. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda City kwa ODDS 1.62 kwa 5.20. Jisajili hapa.
Nao vijana wa Eddie Howe, Newcastle United watakuwa nyumbani kusaka ushindi wa kusaka tiketi ya kucheza ligi ya mabingwa dhidi ya Everton ambao wanshika nafasi ya 13. Mtanange wa mara ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Leo nani kuondoka na pointi 4 za msimu?. 1.35 kwa 8.60 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Maliza ligi ukiwa bingwa wa msimu ndani ya Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Aston Villa naye atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Manchester United ambao wanashika nafasi ya 16 wakiwa wamepoteza mechi 3 mfululizo kwenye ligi. Vijana wa Amorim baada ya kupoteza Kombe la Europa, leo hii wanataka wamalize ligi kwa kushinda pale Old Trafford. Je Villa watawazuia?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 4.40 kwa 1.75.
Vilevile kule LALIGA leo hii kuna mechi 3 za kubashiri, Girona atamleta kwake Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 3. Wenyeji wao wapo nafasi ya 5 kutoka mwisho huku kushinda mechi hii wakipewa ODDS 3.20 kwa 2.25. Je wewe unampa nani ashinde leo?. Suka jamvi hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Villarreal vs Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 26. Mechi ya kwanza kwenye ligi kukutana, Nyambizi wa Njano waliondoka na ushindi. Anayepewa nafasi ya kuondoka na ushindi leo hii ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.53 kwa 5.60. Bashiri hapa.
Bingwa wa ligi FC Barcelona atakuwa mgeni wa Athletic Bilbao ambao wapo nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Bilbao anahitaji kulipa kisasi leo baada ya kupigika mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.75 kwa 2.37. Tengeneza jamvi hapa.
Kule Italia pia SERIE A kuna mitanange ya maana itakayopigwa leo Atalanta atamenyana dhidi ya Parma ambapo mgeni yupo nafasi ya 16. Mwenyeji ameshajihakikishia nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa msimu ujao. Mechi hii ina ODDS 1.75 kwa 4.90. Bashiri sasa.
Pia kwa upande wa Juventus yeye atakuwa ugenini dhidi ya Venezia kusaka ushindi wa kumfanya acheza ligi ya mabingwa msimu ujao. Mwenyeji ana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi akiwa nafasi ya 19. Kila timu inahitaji ushindi leo. 5.20 kwa 1.62 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Utamu mwingine pia upo kwa Lazio vs US Lecce ambapo mwenyeji anahitaji ushindi leo hii aweza kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao. Mara ya mwisho kukutana, mgeni alipasuka. Je kwa ODDS ya 1.45 kwa 7.40 nani kuondoka na pointi 3 leo?. Bashiri hapa.
Vilevile Torino atamkaribisha kwake AS Roma ambao anao leo hii wanazitolea macho pointi 3 kwa hali na mali kwani ushindi wa leo ni muhimu sana. Tofauti ya pointi kati yao ni 22. Wakali wa ubashiri Meridianbet wanampendelea mgeni kushinda kwa ODDS 1.58 kwa 5.80. Jisajili sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...