IJUMAA ya leo ni ya moto sana ndani ya Meridianbet kwani mechi za kibabe za kukupatia mzigo wa maana zipo. Kuanzia pale EPL na kwaingineko ni moto juu ya moto. Timiza ndoto zako na Meridianbet sasa.
EPL leo hii kuna mechi mbili za pesa ambapo mechi za mapema kabisa ni hii ya Aston Villa dhidi ya Tottenham Hot Spurs huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 17. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, Villa alipasuka vibaya mno. Je leo hii vijana wa Unai kulipa kisasi nyumbani leo?. Mechi hii imepewa ODDS 1.38 kwa 7.40. Bashiri hapa.
Mechi kali Uingereza Ijumaa ya leo ni hii ya Chelsea vs Manchester United ambapo tofauti ya pointi kati yao ni pointi 24. Mechi ya mwisho iliyopita walitoshana nguvu, huku The Blues wakihitaji huu ushindi wa leo kwa hali na mali kujiweka sawa kwenye mbio za kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.47 kwa 6.20. Jisajili hapa.
Meridianbet kukupatia mkwanja leo hii ambapo mechi za ushindi zipo kibao. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE kuna mechi kadhaa zitakazoendelea ambapo Al Fateh atakipiga dhidi ya Al Hilal ambao wapo nafasi ya 2 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 13. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji aliambualia kipigo cha mbwa mwizi. Je leo hii mgeni ataendeleza ubabe wake tena?. 4.80 kwa 1.52 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Pia kwa upande wa Al Orobah ataumana vikali dhidi ya Al Khaleej ambao mechi iliyopita, akipigika halikadhalika kwa mwenyeji wake naye alipoteza. Pointi 3 ni muhimu kwa mwenyeji kutokana na nafasi ya chini aliyopo. Yupo nafasi ya 16 huku akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 14. Je beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. 2.04 kwa 3.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Ronaldo na Al Nassr watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Al Taawoun ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 10 kwa 1.24. Vijana wa Stefano Pioli wanahitaji ushindi leo hii wapande hadi nafasi ya 3. Je nani kuibuka mbabe leo?
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...