Katibu Tawala Mkoa wa Dar es salaam Dkt,Toba Nguvila amesisitiza Mfumo wa Manunuzi wa Serikali wa Nest unaosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi kwa Umma (PPRA) kuendelea kutumika vizuri ili iwe tija na manufaa kwa Taifa .
Hayo ameyasema leo jijini Dar es salaam wakati wa makabidhiano ya vitendeo kazi vya redio na memori kwa Chama cha Watu Waiona Tanzania na kuongezea kuwa vifaa hivyo vitunzwe na wavitumie vizuri ili viweze kuwanufaisha.
Awali akiongea Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amesema msaada huo utawasaidia kwa walemavu kuchangamkia fursa kwenye ununuzi wa Umma zinazotangazwa kwenye mfumo wa Nest.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Umma (PPRA) Dennis Simba amesema mafunzo kwa kundi ya watu wasiona imegharibu milioni 52 kwa mkoa wa Pwani kwa washiriki 250 na leo wanatoa redio na memorikadi hivyo waliona muamko kwa walemavu ni mdogo hivyo wanaweka mkazo kwa makundi hayo na wao wanapaza hizo kazi.
Naye Mwenyekiti wa Chama cha Wasiona Tanzania Omary Kitangu amesema redio hizo na memeri walizopewa zitawasaidia kujua tenda za serikali zilizowekwa kwa walemavu kwa asilimia 30 na zitawasaidia kuwanufaisha walemavu.
Ikumbukwe kwamba Mamlaka hiyo ya ununuzi wa Umma ( PPRA) ilitoa mafunzo maalumu kwa wasiona Aprili 25 mwaka huu Mkoani Pwani

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...