IKIWA ni mwendelezo wa promosheni kali zinazotolewa na wakali wa ubashiri Meridianbet, safari hii wamemua kukuleta promo kali ya Spin-O-Mania ambayo unaweza kujishindia Euro 1000,000 mwisho wa mwaka.
Je unajua Gamzix ni nini? Huyu ni mtengenezaji maarufu wa michezo ya Kasino ambaye kwasasa ameweza kuzindua rasmi Spin-O-Mania, mashindano ya kipekee ambayo yatadumu kwa mwaka mzima yakiwa na jumla ya zawadi ya kuvutia hadi Euro 1000,000.
Promosheni hii ya Spin-O-Mania ilianza toka tarehe 05 mwezi Juni na mwisho itakuwa ni tarehe 29 Juni ambapo zawadi na pesa zitakbidhiwa kwenye akaunti za wachezaji kama fedha zinazoweza kutolewa ndani ya masaa 48, zawadi itakabidhiwa kwenye beti isiyo na ushindi iliyofanywa baada ya mwisho wa shindano.
NB: Unaweza ukajisajili na Meridianbet na kucheza michezo mingine ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Spin-O-Mania ni mashindano ambayo yameletwa ili kuleta burudani na zawadi kwa wachezaji wa viwango vyote ambapo zawadi ya jumla itakuwa ni Euro 1000,000 kwa mwaka.
Zawadi kwa kila hatua itakuwa ni Euro 15,000 hadi Euro 30,000, huku wachezaji 150 wa juu hushinda kila wiki. Mizunguko ambayo inahesabika inatakiwa iwe angalau 100 kwa kila raundi.
Mteja wa Meridianbet kumbuka kuwa kadi unavyozungusha gurudumu lako mara nyingi ndivyo ambavvyo unajiweka kwenye nafasi ya kuwa Milionea kwa sasa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kutimiza ndoto zako.
Michezo itakauoshiriki kwenye Promo hii ni pamoja na Coin Win, Hold The Spin, Sticky Coin, Book of Zulu, Tiger Pot, na Ultra Luck ambapo kwa uhakika kabisa ukicheza moja wapo ya hiyo michezo nafasi ya wewe kuwa bingwa n kubwa sana.
Kila mzunguko wa ushindi unauzidisha ambao urtakupa pointi kwenye mashindano. Wachezaji walio na pointi nyingi zaidi kila wiki watajipatia sehemu ya zawadi ya pesa taslimu, bila ya kuwa na masharti ya kubeti tena.
FAIDA KWA WACHEZAJI
● Zawadi halisi bila ya mahitaji ya kubeti
● Mashindano ya kila wiki kwa mwaka mzima
● Michezo ya kisasa na burudani ya hali ya juu
● Zawadi zinakaa moja kwa moja kwenye akaunti yako
Meridianbet inakusisitiza kuwa huu sio wakati wa kupotezea fursa ya kibabe kama hiyo mwezi huu Juni Spin-O-Mania inakupa nafasi yako ya kugeuza mizunguko yako ya kila siku kuwa zawadi halisi. Jiunge sasa na wababe hawa wa Odds kubwa Tanzania na uweze kujishindia mkwanja huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...