MERIDIANBET wanazidi kuonyesha ni kwanini ni kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Wameamua kuja na promosheni kubwa ya “Paa na Super Heli, Shinda Samsung A25” ikiwa ni promosheni maalumu kwa wachezaji wa mchezo wa kasino mtandaoni wa Super Heli. Promosheni hii imeanza mwezi huu wa Juni.

Promosheni hii itawapa watu fursa ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25, na simu zitakuwa zikigawiwa kila siku ya jumatatu ya wiki. Hii ni moja ya njia ya Meridianbet kuwapa thamani na kuwakumbuka wateja wake.

Vigezo vya kushiriki;

Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Meridianbet.co.tz au kwenye app ya Meridianbet

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# Au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Hakikisha akaunti yako imekamilisha usajili, na umecheza super heli kipindi cha promosheni, yaani tarehe 01 hadi 30 Juni, 2025.

Cheza mara kwa mara Super Heli, kwani kila unapocheza unajiongezea nafasi kubwa Zaidi ya kujishindia simu ya Samsung A25.

Zawadi zinazotolewa;

Kila siku ya Jumatatu ya wiki, washindi wawili (02) watapatiwa simu mpya aina ya Samsung A25.

Jumla ya simu nane (08) zitagawiwa kwa washindi nane ndani ya majuma manne (mwezi mmoja) ya mwezi Juni.

Mambo muhimu ya kuzingatia;

Promosheni hii itakua maalum kwa wateja wote wanaotumia Meridianbet ambao akaunti zao zimesajiliwa nchini Tanzania.

Meridianbet inayo haki ya kufanya mabadiliko yoyote au kusitisha promosheni hii bila ya kutoa taarifa ya awali.

Masharti ya kawaida ya bonasi pamoja na matumizi ya Meridianbet yatazingatiwa.

Kwako mdau wa michezo ya ubashiri na kasino mtandaoni, hii ni fursa ya wewe kujishindia simu kali kabisa ya Samsung A25 kutoka Meridianbet bila kuingia gharama kubwa kabisa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...