KAMPUNI inayoongoza katika sekta ya michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini, Meridianbet, imezindua promosheni mpya ya kuvutia kwa mwezi Juni 2025. Kupitia ofa hii maalum iitwayo "Shinda Samsung A25", wateja wa Meridianbet watapata nafasi ya kuingia kwenye droo ya kushinda simu 8 mpya aina ya Samsung A25, zitakazotolewa kila Jumatatu ndani ya mwezi mzima.

Promosheni hii ni sehemu ya mkakati wa Meridianbet wa kuwazawadia wateja wao kwa uaminifu na ushirikiano wanaoendelea kuonesha kila siku.

Jinsi Ya Kushiriki:

Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia meridianbet.co.tz au kwenye app rasmi ya Meridianbet.

Hakikisha akaunti yako imesajiliwa kikamilifu.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# Au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Promosheni inaanza tarehe 1 Juni na kumalizika tarehe 30 Juni 2025.

Unachohitaji ni kuwa na akaunti halali na kuingia wakati wa kipindi cha promosheni.

Zawadi Zinazotolewa:

Kila Jumatatu, washindi 2 watajishindia Samsung A25 mpya kabisa.

Kwa kipindi chote cha promosheni, jumla ya simu 8 zitagawiwa kwa washindi 8 tofauti.

Masharti Na Vigezo:

Promosheni hii ni halali kwa wateja wote waliopo Tanzania na ambao akaunti zao zimesajiliwa kikamilifu.

Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii bila kutoa taarifa ya awali.

Masharti ya kawaida ya bonasi na matumizi ya Meridianbet yataendelea kutumika kama kawaida.

Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, hii ni nafasi ya kipekee ya kushinda zawadi ya kifahari kutoka Meridianbet, kampuni inayowajali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...