Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa magereza ya Tanzania Bara mkoani Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa magereza ya Tanzania Bara mkoani Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025.Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Magereza ya Tanzania Bara wakifuatilia hotuba ya ufungaji mafunzo hayo mkoani Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Vyuo vya Mafunzo wakifuatilia hotuba ya ufungaji mafunzo hayo Mjini Unguja Zanzibar leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025.
Na. Mwandishi WetuWatendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili waweze kutekeleza zoezi hilo kwa ufanisi.
Wajumbe wa Menejiment ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa jkatika Mafunzo hayo mjini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Magereza ya Tanzania Bara wakifuatilia hotuba ya ufungaji mafunzo hayo mkoani Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...