MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse wameamua kuja na ofa kubwa wa wachezaji wa Kasino mtandaoni kupitia Zombie Apocalypse. Ofa hii nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale unapocheza kwani unapojiunga na mizunguko 100 leo unapata ofa ya kucheza mizunguko 50 bure kwa siku inayofuata.
Zombie Apocalypse kutoka Meridianbet ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaovutia na wenye mandhari ya uhalisia wa dunia baada ya janga la zombii. Ikiwa unatafuta burudani yenye bonasi za kuvutia na nafasi ya kushinda zawadi kubwa, mchezo huu ni chaguo bora kwako.
Mchezo huu ni rahisi sana kucheza ukiwa umeundwa kwa mistari 20 ya malipo na ushindi unalipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya bonasi. Lakini pia kuna alama ya wild ambayo inaweza kubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya bonasi, kuongeza nafasi za kushinda hivyo kukuongezea nafasi ya kushinda.
Meridianbet pamoja na Expanse studio wamehakikisha ubora na mvuto wa hali ya juu ya mchezo huu. Mchezo huu una mandhari nzuri sana ya giza na ya kusisimua, ikiwa na alama mbalimbali kama vile alama za zombii, silaha, na wahusika wanaokimbia. Muziki na athari za sauti zinachangia kuunda hali ya wasiwasi na msisimko, ikikufanya uhisi kana kwamba uko katikati ya janga la zombii.
Ikiwa unavutiwa na michezo ya kasino ya mtandaoni yenye mandhari ya kipekee na bonasi za kuvutia, Zombie Apocalypse ni mchezo sahihi kwako. Jisajili Meridianbet na sasa na anza kucheza.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...