
MWAMBA wa michezo ya kubashiri nchini, Meridianbet anakukaribisha kushiriki katika promosheni kabambe ya mwezi Julai 2025 kupitia mchezo pendwa wa kasino, Wild White Whale. Kuanzia 1 Julai hadi 31 Julai 2025, wateja wote wana nafasi ya kupata spins 50 za bure kila watakapokamilisha spins 100 kwenye mchezo huu wa kusisimua.
Promosheni hii ni mahususi kwa kila mchezaji aliyesajiliwa na Meridianbet, na hutoa zawadi ya papo hapo ya spins 50 za bure bila kujali kama umeshinda au la kwenye spins zako 100 za kwanza. Hii ina maana, kila mzunguko wa mchezo ni fursa ya ziada ya kushinda zaidi.
Ili kushiriki, unachotakiwa ni kuwa na akaunti halali ya Meridianbet. Cheza mchezo wa Wild White Whale kwa kutumia pesa halisi, na baada ya kukamilisha spins 100, spins 50 za bure zitaongezwa moja kwa moja kwenye akaunti yako. Kumbuka, ofa hii inatolewa kwa mteja mmoja tu kwa kila akaunti, kulingana na sera za uadilifu za kampuni.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Spins zako za bure hazina masharti ya kuchezwa tena (no wagering requirements), hivyo unaweza kufurahia ushindi wako kwa uhuru. Meridianbet pia inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko yoyote au kusitisha promosheni hii wakati wowote, bila taarifa ya awali.
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuburudika na mchezo wa Wild White Whale huku ukijizawadia spins za bure kila siku. Ingia sasa kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au application ya Meridianbet, anza kucheza, na ufurahie bahari ya ushindi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...