LEO hii mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu itapigwa ambapo ni kati ya Fluminense vs Al Hilal huku nafasi ya kushinda akipewa mgeni kwa Odds 2.50 kwa 3.00.

Meridianbet inakwambia hivi unaweza ukatengeneza pesa mechi hii kwa kubashiri na GG&3+. Unasubiri nini sasa kusuka jamvi lako la ushindi kwa wakali wa ubashiri Tanzania?. Fluminense kutoka Brazil inahitaji ushindi huu waka hali na mali halikadhalika kwa Al Hilal kutoka Saudia.

Fluminense mpaka kufika hapa hatua ya 16 bora wamemtoa Inter Milan kutoka Italia, wakati kwa upande wa Al Hilal yeye wamemtoa Manchester City bingwa wa kombe hili msimu wa 2023.

Meridianbet wanakwambia huku timu hizi zikitafuta nafasi ya kusonga mbele, wewe pia unaweza kusonga mbele kwa kuchagua kubashiri mechi hii kwa GG&3+ ujiweke kwenye nafasi ya kupata bonasi ya kibabe kabisa. Bashiri mechi hii.

Michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupatia mkwanja leo, Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee

Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 04 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza

● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Fluminense vs Al Hilal kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Fluminense vs Al Hilal kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Fluminense vs Al Hilal lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

Kama mchezo wa Fluminense vs Al Hilal ukimalizika 0-0

● Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.

● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...