
JUMANNE ya leo unaweza ukaweka pesa yako ndani ya Meridianbet na ukabshiri mechi za kufuzu Ligi ya mabingwa Ulaya mkondo wa kwanza msimu ujao. ODDS za kibabe zinakusubiri sasa, ingia na usuke jamvi hapa.
Anza kubashiri mechi hii ya Kups vs Kairat Almaty ambao hawapewi nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 2.80 kwa 2.65. Mwenyeji anashiriki ligi Finland huku mgeni wake yupo pale Kazakhstan. Je kwenye mechi hii ya kwanza nani kuondoka na pointi 3?. Bashiri mechi hii sasa.
Wakati kwa upande wa FC Noah Yerevan ya kule Armenia watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Ferencvaros Budapest ya kule Hungary. Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi mgeni kwa ODDS 2.15 kwa 3.40. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.
Nao FK Zvezda Belgrade watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Lincolin Red Imps ambao kushinda mtanange huu wa leo wamepewa ODDS 16, huku wenyeji wao wakipewa 1.20. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Ingia na ubahsiri na mabingwa hapa.
Tengeneza pesa ya haraka na michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Katika dimba la Doosan Arena, kutakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya Viktoria Plzen dhidi ya Servette Geneva ambao hawapewi nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 5.20 kwa 1.20. Nani kuibuka mbabe leo?. Tandika jamvi lako hapa.
Pafos FC kutoka kule Cyprus wataumana vikali dhidi ya Maccabi Tel Aviv FC ya kule Israel. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashindano yoyote, hivyo hii ndio mechi yao ya kwanza. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.17 kwa 3.25. Nani kushinda mechi hii ya mkondo wa kwanza?. Bashiri hapa.
Vilevile mechi nyingine ya kubashiri ni hii ya FC Copenhagen vs KF Drita huku nafasi ya kujishindia akipewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.12 kwa 20. Piga pesa kwenye mechi hii ambayo pia ina machaguo kibao uyapendayo. Unangoja nini sasa?. Bashiri kijanja hapa.
Mechi nyingine pia ya kuongeza kwenye jamvi lako ni hii ya FC RFS dhidi ya Malmo FF ambapo kila timu inahitaji ushindi kwenye hii mechi ya mkondo wa kwanza. 4.10 ndio ODDS za mwenyeji kushinda huku mgeni yeye akipewa 1.93. Je wewe unampa nani akujazie kibubu chako?. Tandika jamvi hapa.
Saa 3:45 usiku Glasgow Rangers atapepetana dhidi ya Panathinaikos Athens ya kule Ugiriki. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.90 kwa 4.30. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...