Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa aliyemaliza Muda wake kuwakilisha Wilaya ya Kinondoni (Jumuiya ya Wazazi CCM), pia Mmilliki wa makampuni ya “QS Mhonda J Apex Group of Companies Ltd” ikiwa pamoja na makampuni ya Ujenzi (Ukandarasi na Ushauri Majenzi) na Uwekezaji mbalimbali, tena pia ni mfadhiri wa Wanamuziki na Wasanii mbalimbali ndugu Qs Mhonda, Joseph Boniface (Mtia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kinondoni) amewaasa wagombea wenzie wa Ubunge na wana CCM kwa ujumla kuwa watulivu kwenye mchakato wa ndani wa kuwapata wawakilishi wa CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa nje, Qs Mhonda, J. amesisitiza kwa kusema “Chama kwanza na Mtu baadae”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...