Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza akielekeza Jambo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. 


Meneja wa Uhusiano na Eliminate kwa Umma Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Gaudensia Simwanza akiwapa maelezo baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda Hilo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. 












Wananchi mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Scolastica Afisa Uhusiano wa (TMDA) (PICHA ZOTE NA EMMMANUEL MASSAKA,MMG)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...