Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria Agapinus Tax,( wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu televisheni janja (smart screen) inayotoa maelekezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika banda la kampuni hiyo lililoko katika viwanja vya sabasaba ambako maonesho ya 49 ya kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea.

shughuli za kuhamasisha wateja kwenye maonesho ya Sabasaba. Tukio Hilo limetokea leo , katika maadhimisho ya siku ya sabasaba jijini Dare es salaam.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...