Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi akisalimia wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi alipokuwa akiendelea na mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kunadi Ilani ya chama hicho pamoja na kuomba kura kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani wa CCM mkoani Arusha leo Septemba 12, 2025..jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...