Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi anaendelea kusaka kura za ushindi wa kishindo za mgombea urais wa chama hicho, Dkt.Samia Suluhu Hassan, za Wabunge na Madiwani, ambapo leo Septemba 23, 2025 ameingia siku ya pili ya kufanya mikutano ya kampeni mkoani Njombe.

Picha mbalimbali za Dk Nchimbi alipowasili katika mkutano wake wa kampeni unaofanyika katika Uwanja wa Igwachanya, wilayani Wanging'ombe.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...