
JE unajua kuwa unaweza kushinda leo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia Mataifa ya Afrika?. Mechi kibao za pesa zipo leo kuanzia majira ya saa 10:00 jioni. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi hapa.
Katika kundi H, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Equatorial Guinea dhidi ya Tunisia ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 9. Mwenyeji anahitaji kulipa kisasi leo baada ya mechi ya mwisho kukutana kupoteza. Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Tunisia kwa ODDS 2.16 kwa 3.50. Je beti yako unaiweka wapi?. Bashiri hapa.
Wakati huo washindi watatu wa Kombe la Dunia 2022 Morocco watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Zambia ambao kushinda mtanange huu wa leo wamepewa ODDS 5.80 kwa 1.56. Kwenye mechi 4 za mwisho walipokutana Chipolopolo wamekuwa vibonde kwani wamepoteza mechi zote. Nani kuibuka bingwa siku ya leo?. Jisajili hapa.
Mtikisiko mkubwa utakuwepo kwenye mechi ya Mozambique vs Botswana huku tofauti ya pointi kati yao ni 3. Mwenyeji anapendelewa kuondoka na pointi tatu leo hii akipewa ODDS 1.80 kwa 5.00. Mechi hii pia imepewa machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Suka jamvi hapa.
Chukua mpuga kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kutoka kule Kundi G, kinara wa kundi hiyo Algeria atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Guinea huku wewe ukiwa na nafasi ya kushinda zaidi ya Mamilioni. Ikiwa tofauti yao ni pointi 8 pekee, nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mgeni akiwa na ODDS 1.90 kwa 4.40. Tandika jamvi hapa.
Malawi vs Liberia uso kwa uso kusaka pointi 3 za ushindi leo kwenye mechi kali ya kufuzu Kombe la Dunia 2026. Nafasi ya kushinda mtanange huu wa leo amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.12 kwa 3.60. Mgeni anahitaji kulipa kisasi leo hii baada ya kupoteza mechi ya mwisho kukutana. Jisajili hapa.
Nao Uganda watamleta nyumbani kwao Somalia katika kundi G ambapo mgeni ndio kibonde wa kundi hili akiwa na pointi moja pekee hadi sasa. The Cranes hadi sasa wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 12. Odds za mechi hii ni 1.13 kwa 18. Ingia mzigoni na ubashiri sasa.
Vilevile Chad atasafiri kukiwasha dhidi ya Madagascar ambao leo hii ndio wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda mechi hii ya leo kwa ODDS 1.29 kwa 10. Mgeni kwenye mechi 7 ambazo amecheza amapeta pointi moja pekee huku mwenyeji yeye ana pointi zake 13. Tandika jamvi lako hapa.
Pia unaweza ukabashiri mechi ya Ghana vs Mali ambao hawa waote wapo katika kundi I ambapo kwenye mechi 7 ambazo wamecheza mwenyeji amekusanya pointi 16 na mgeni wake amekusanya pointi 12, Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo na Meridianbet? Bashiri sasa.
Eswatini nao baada ya kukosa ushindi kwenye mechi zake 5 za mwisho, leo hii atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Libya ambao wao kwenye mechi zao 5 za mwisho wameshinda mechi mbili hadi sasa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.32 kwa 9.60. Wewe unampa nani ushindi siku ya leo?. Jisajili sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...