Mkurugenzi wa Shirika la Community Transformation Alliance-CTA, Alistidia John Kamugisha (kushoto) akifungua semina iliyoandaliwa na CTA pamoja na Shirika la Wanawake Waelimishaji Afrika, Tawi la Tanzania (FAWETz) iliyofanyika jijini Dar es Salaam kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike kwa mwaka 2025.

Sehemu ya mabinti wakiwa kwenye semina hiyo ya kumjengea uwezo mtoto wa kike ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali popote alipo, iwe shuleni au nje ya shule na hatimaye kila mmoja kufikia malengo yake, semina iliyoandaliwa Shirika la Community Transformation Alliance-CTA pamoja na Shirika la Wanawake Waelimishaji Afrika, Tawi la Tanzania (FAWETz).


Sehemu ya mabinti waliopata fursa kwenye semina hiyo ya kumjengea uwezo mtoto wa kike wakiwa katika majadiliano mara baada ya mawasilisho ya mada mbalimbali, semina hiyo iliandaliwa na Shirika la Community Transformation Alliance-CTA kwa kushirikiana na Shirika la Wanawake Waelimishaji, Tawi la Tanzania (FAWETz).

Mratibu wa Taifa- FAWETz, Bi. Neema Kitundu (wa kwanza kulia) akizungumza kwenye semina hiyo kwa mabinti mbalimbali iliyoandaliwa na CTA na FAWETz iliyofanyika jijini Dar es Salaam kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike kwa mwaka 2025.


Baadhi ya mabinti wakizungumza kwenye semina hiyo ya kumjengea uwezo mtoto wa kike ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali popote alipo, iwe shuleni au nje ya shule lengo ikiwa kila mmoja kufikia malengo yake. 


Baadhi ya mabinti wakizungumza kwenye semina hiyo ya kumjengea uwezo mtoto wa kike ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali popote alipo, iwe shuleni au nje ya shule lengo ikiwa kila mmoja kufikia malengo yake. 

Mkurugenzi wa Shirika la Community Transformation Alliance-CTA, Alistidia Kamugisha (katikati) akifafanua jambo kwenye semina hiyo, kulia ni Mratibu wa Taifa- FAWETz, Bi. Neema Kitundu pamoja na Mwalimu Shule ya Sekondari Kisutu, Bw. Abdallah Magongo (wa kwanza kushoto).

Picha ya pamoja ya baadhi ya washiriki katika semina hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...