Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimewakutanisha jumla ya wachezaji 150 wa mchezo huo, kutoka mataifa zaidi ya nane Duniani, shabaha kuu ikiwa ni kuendelea kuongeza ushindani wa mchezo wa gofu nchini na baadaye kimataifa kupitia mchezo huo.

Timu ya uongozi wa Vodacom ikiongozwa na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi David Tarimo  na Afisa Mtendaji Mkuu  Philip Besiimire wakifungua mashindano ya golf ya Vodacom Tanzania Open 2025 ikiwa ni siku ya tatu ya mshindano hayo , yenye lengo la kuendeleza mchezo wa golf nchini ambapo kampuni hiyo imesimama kuwa mdau mkua anayechangia ukuaji  wa mchezo huo ikishirikiana na chama cha golf Tanzania . Tukio limefanyika leo jijini Arusha.














Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...