Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025..jpeg)
.jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.


.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...