Meneja Mauzo wa Vodacom wilaya ya Hai, Gallus Massama (kulia), akikabidhi kapu Vodacom kwa ajili ya sikukuu kwa mkazi wa Njoro mjini Moshi, Asia Iddy Kasimu (kushoto) ikiwa ni muendelezo wa kampeni kugawa makapu kwa wateja katika msimu huu wa sikukuu.
Kampeni hiyo imeendelea katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Hafla hii imeandaliwa kwa lengo la kusherehekea pamoja na wateja, sambamba na kuhitimisha maadhimisho ya miaka 25 ya Vodacom ya utendaji kazi nchini, na limefanyika mjini Moshi, mkoani kilimanjaro jana.


.jpeg)


.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...