Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe huo, tarehe 19 Desemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, baada ya kukabidhi Ujumbe huo Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, tarehe 19 Desemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe huo, tarehe 19 Desemba, 2025.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...