WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa leo hii ipo kwaajili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa.
Kama kawaida michuano ya AFCON itaendelea ambapo Comoros atakuwa kibaruani dhidi ya Mali moja ya timu ambazo ngumu na zenye wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mwenyeji alipoteza hivyo leo hii ni siku ya wao kulipa kisasi. Je wanaweza kupata ushindi?. Bashiri hapa.
Mtanange mwingine ni huu wa Zambia dhidi ya Morocco ambao ni washindi wa 3 Kombe la Dunia 2022 kule Qatar. Pia timu hiyo ipo kwenye timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kushinda taji hili. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri hapa.
Angola vs Egypt ni moja ya mechi kali kabisa kupigwa huku kila timu ikihitaji kushinda mechi hii. Ikumbukwe kuwa Mafarao ndio wenye mataji mengi kwenye michuano hii. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili hakuna ambaye aliondoka na ushindi. Meridianbet inakwambia kuwa ODDS KUBWA zipo hapa. Jisajili hapa.
Pia naye Zimbabwe ataumana dhidi ya South Africa ambao mechi yao ya mwisho ya kwenye mashindano walipata ushindi, huku wenyeji wao walipoteza mechi yao ya mwisho. Je nani kuondoka na pointi 3 za uhakika pale Meridianbet?. Suka jamvi hapa.
Ondoka na ushindi haraka kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
CHAMPIONSHIP kule Uingereza itaendelea pia ambapo Conventry atakipiga dhidi ya Ipswich ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 13 huku takwimu zikionesha kuwa mechi ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji alipasuka. Je loe hii ni siku ya mwenyeji kulipa kisasi akiwa kama kinara wa ligi?. Bashiri hapa.
Nao Leicester City ataumana dhidi ya Derby Country ambao mpaka sasa ana pointi 30 huku mwenyeji wake akiwa na pointi 31. Tofauti yao ni pointi 1 pekee huku kila timu ikihitaji ushindi kusogea juu kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa leo. Beti sasa.
Piga pesa mechi hii ya Norwich City vs Watford huku tofauti yao hadi sasa kwenye msimamo wa ligi ikiwa ni 12. Nafasi ambayo yupo mwenyeji ni mbaya sana na anataka ashinde mechi hii atoke huko chini alipo. Lakini je anaweza kushinda mbele ya mgeni wake ambaye yupo nafasi ya 14. Suka jamvi hapa.
Pia West Bromwich atakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya QPR ambao wanashika nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 16. Kila timu inahitaji ushindi leo hii iweze kujiweka nafasi nzuri kwenye ligi. Meridianbet wameweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Jisajili hapa.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...