Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kushoto), pamoja na Meneja Mauzo na mkakati wa biashara Kanda ya Kati, Latifa Salum (kulia), wakimkabidhi kapu la sikukuu mteja Beatrice Msawanya (katikati) ikiwa ni mwendelezo wa zoezi la kugawa makapu kwa wateja kama  sehemu ya shamrashamra na mwendelezo wa kampeni ya Vodacom ya kuwashukuru na kusherehekea wateja wake nchini katika msimu huu wa sikukuu. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Morogoro.




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...