
LIGI ya mabingwa Barani Ulaya itaendelea pia hapo kesho ambapo timu za pesa zote zitakuwepo uwanjani kusaka nafasi ya kusonga mbele. Chelsea, Bayern, Liver na wengine kibao wapo kwaajili ya kukupatia pesa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.
Tukianza na Galatasaray wao watamualika kwake Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 18. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana kati yao ilikuwa ni mwaka 2015 ambapo vijana wa Simeone waliondoka na ushindi mechi zote 2. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Atalanta wao watakipiga dhidi ya Athletic Bilbao ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii ya leo. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii ya leo huku pointi 8 ndio inayowatofautisha hadi sasa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Ingia na ubeti hapa.
Vijana wa Vicent Kompany Bayern Munich wao watakuwa kibaruani kukiwasha dhidi ya Union Saint Gilloise ambao wameshinda mechi 2 pekee kwenye zile 6 walizocheza, huku wenyeji wao kwenye mechi 6 wameshinda 5 na kutoa sare moja tuu. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda Bayern. Wewe unampa nani nafasi ya ushindi?. Jisajili hapa.
Piga pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakati huo huo vijana wa Darajani Chelsea wataumana dhidi ya Pafos ambao wameshinda mechi moja pekee kati ya 6 huku The Blues wao wakishinda mechi 3. Nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wamepewa wenyeji. Je vipi wewe beti yako leo unaiweka kwa nani?. Bashiri hapa.
Juventus uso kwa uso dhidi ya Benfica kutoka kule Ureno ambao kwenye mechi 6 walizocheza hadi sasa wameshinda 2 halikadhalika Bibi Kizee naye kashinda mechi 2 pekee. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 3 pekee. Je nani kuondoka na pointi tatu katika dimba la Allianz?. Jisajili hapa.
Halikadhalika nao vijana wa Arne Slot, Liverpool watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Marseille ya kule Ufaransa. Timu hizi mbili mpaka sasa zimetofautiana pointi 3 pekee huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Suka jamvi hapa.
Slavia Prague atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Barcelona ya Hans Flick ambao ushindi wa mechi hii ni muhimu sana kwao ili waweze kushika nafasi nzuri. Mwenyeji pia anahitaji ushindi wa kila namna kwenye mechi hii. Je vijana wa Hans watatokaje?. Tengeneza jamvi hapa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...