Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid,leo tarehe 28 Januari, 2026, amekutana na Katibu wa Pili - Masuala ya Siasa kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini,Bw. Jack Fenwick.
Bw. Jack amefika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano.
Bw. Jack amefika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano.

.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...