Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maabara yaMkemia Mkuu wa Serikali, Christopher Kadio, akiongea wakatiakifunga Mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikalilililofanyika katika Ukumbi wa Cate Hoteli, jijini Morogoro January 23, 2026.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maabara ya MkemiaMkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Bodi ya Usimamizi na Udhibiti waKemikali Prof. Edda Vuhahula, akiongea wakati wa mkutano wa Jukwaa la kitaifala Wadau wa Kemikali, Januari 23, 2026.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akiongea kabla yakumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maabara yaMkemia Mkuu wa Serikali, Christopher Kadio (hayupo pichani) kufunga Mkutanowa Jukwaa la kitaifa la Wadau wa Kemikali, Januari 23, 2026.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaalam ya Kemikali, Dkt. Clarence Mgina, akiwasalimuwadau wa Jukwaa la kitaifa la Wadau wa Kemikali lililofanyika mkoani Morogoro, Januari 23, 2026.
Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti, Daniel Ndiyo, akitoa ufafanuzi wa maswalimbalimbali yaliyoulizwa na washiriki wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikalikwa mwaka 2026 ambalo lilihitimishwa katika Hoteli ya Cate, Morogoro, Januari23, 2026.
Wadau wa Kemikali, Hussein Dewji, kutoka Simba Supply Chain Solutions Ltd, naEng. Harryson Rwehumbora kutoka ATZ Group Ltd. Arusha, (picha ya chini) wakitoa wasilisho fupi kuhusu namna wanatekeleza majukumu yao kwakushirikiana na Mamlaka katika siku ya pili ya Jukwaa la Kitaifa la Wadau waKemikali lililofanyika Morogoro, Januari 23, 2026.Wadau wa Kemikali, Nyakolema Magige, kutoka Waja General Co. Ltd. (picha yajuu) na Shukuru Swaleh kutoka Usangu Logistics (picha ya chini) wakitoawasilisho fupi kuhusu utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia Sheria yaUsimamizi na Udhibiti wa Kemikali katika Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikali, Januari 23, 2026.
Washirikia wa Mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa kemikali wakifuatiliamada mbali mbali zilizowasilishwa na wataalam kwenye mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikali lililohitimishwa Morogoro, Januari 23, 2026.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu waSerikali, Christopher Kadio (katikati) akiwa na viongozi wengine wa Mamlaka(mstari wa mbele) pamoja na wadau wa kemikali ambao waliwasilisha madakuhusu majukumu yao (waliosimama nyuma) wakati wa mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikali Januari 23, 2026.

Mwakilishi wa Wadau wa mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikali, Happyness Shumbusho, akitoa neno la shukrani kwa niaba wa washiriki wenginewa mkutano wakati wa siku ya pili ya mkutano huo uliofanyika Cate HoteliMorogoro.Mratibu wa mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Kemikali, AnastaziaRugaba, akiwasilisha maazimio ya mkutano wa Jukwaal a Kitaifa la Wadau waKemikali kabla ya kufungwa kwa mkutano huo uliofanyika Morogoro, Januari23,2026.











Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...