India imefikiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kupata simulizi nzuri ya Eden inayosimuliwa kwenye vitabu vya dini inayoelezwa kwamba Adam na Eva walikula tunda la Mti wa kati.

Katika maonesho ya kimataifa ya utalii yanayofanyika  India tarehe 6-7 Februari, 2026 Afisa Masoko Mkuu Michael Makombe anatoa elimu kwa washiriki kuhusu kasoko ya Ngorongoro kuwa ni Eden inayozungumzwa kwenye vitabu vya dini.

“Ngorongoro tuna amini kuwa ndiyo Eden kutokana na kuwa na vitu vyote ambavyo Mungu amevitaja katika sifa za Bustani ya Eden.

Amevitaja vitu hivyo kuwa ni mandhari ya kuvutia,wanyama na ndege, matunda ya aina zote,misitu na mimea,wadudu,maji na miamba yenye mapango yenye muundo unaomfanya binadamu aweze kuwasiliana na Mungu.

Ngorongoro yenye utajiri wa Vivutio imetambuliwa na mtandao wa World Travel Awards kama kivutio bora cha utalii kwa mwaka 2023 na 2025 vivutio ambavyo  vipo sehemu moja na hivyo kudhihirisha Eden iliyotajwa kwenye vitabu vya dini





Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...