
MERIDIANBET wanaendelea kubadili wiki za wapenzi wa michezo ya kubashiri kwa kuianzisha Jumatano ya zawadi, kampeni maalum inayofanya kila Jumatano kuwa siku ya kusubiri kwa hamu. Kuanzia Jumatano hadi Jumanne, wateja wanaoweka tiketi zenye mechi tatu au zaidi wanaingia moja kwa moja kwenye nafasi ya kushinda zawadi za kipekee.
Kipekee zaidi, kila Jumatano wachezaji wanapewa fursa ya kushinda simu mpya kabisa za Samsung A26, zikiwa nne kila mwezi. Hii inaifanya kampeni hii isiwe tu kuhusu ushindi wa kawaida wa tiketi, bali pia zawadi za kisasa zinazoongeza thamani ya uzoefu wa kubashiri.
Meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kadri tiketi zinavyokuwa kubwa ndivyo nafasi za ushindi zinavyoongezeka, falsafa inayowahamasisha wachezaji kupanga chaguo zao kwa umakini zaidi. Meridianbet wanasisitiza kuwa kila mteja anastahili kushiriki kila wiki, jambo linalofanya Jumatano ya zawadi kuwa tukio la pamoja linalowakutanisha wachezaji kutoka maeneo mbalimbali.
Kinachofanya kampeni hii iwe rafiki zaidi ni urahisi wake. Tiketi inahitaji kuwa na angalau mechi tatu, na ofa hii inawahusu wateja wa USSD wanaobashiri kwa kupiga *149*10#. Hakuna taratibu ngumu, ni hatua chache tu na tayari uko ndani ya msisimko wa kati ya wiki.
Kwa ujumla, Jumatano ya zawadi ni uthibitisho mwingine kwamba Meridianbet hawatoi tu michezo ya kubashiri, bali pia wanaunda uzoefu wa burudani unaozidi matarajio. Ni mwaliko wa kufurahia kati ya wiki kwa namna tofauti, huku ukikumbuka kucheza kwa uwajibikaji na kwa wale wanaostahili kisheria kushiriki.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...