
MERIDIANBET, kampuni inazoongoza nchini katika michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, imeimarisha mshikamano wa kijamii kwa kutoa msaada wa vyakula na mahitaji ya msingi kwa familia zenye uhitaji maalum wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Hatua hii ni ishara thabiti ya dhamira ya Meridianbet ya kushirikiana na jamii katika kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku.
Kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), Meridianbet imewekeza katika kuhakikisha ustawi wa familia unadumishwa kwa kutoa msaada wa vyakula, bidhaa za nyumbani, na mahitaji muhimu ya kila siku. Mpango huu umeundwa kwa lengo la kupunguza mzigo wa gharama zinazowakabili kaya zilizo hatarini na kutoa nafuu kwa wananchi wanaohitaji msaada wa haraka.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Akizungumza wakati wa zoezi la usambazaji, Nancy Ingram, msemaji wa Meridianbet, alisisitiza kuwa kampuni inaamini kuwa maendeleo ya biashara hayana maana bila maendeleo ya jamii inayozunguka. “Tunajivunia kushirikiana na wananchi na kuhakikisha msaada wetu unawafikia kwa wakati muafaka, huku tukijenga mshikamano thabiti wa kijamii,” alisema.
Wanufaika wa msaada huu walieleza furaha yao na kutoa shukrani, wakitambua kuwa msaada huo umefika wakati muafaka na kuleta faraja kubwa kwa kaya zao. Meridianbet imetangaza kuwa huu ni mwanzo wa miradi ya kijamii inayolenga afya, elimu, mazingira, na msaada kwa makundi wenye mahitaji maalum, yote kwa lengo la kujenga jamii yenye ustawi na matumaini endelevu.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...