Picha namba 01. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 2 Februari, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia atashiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na kushiriki Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Sheria wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Abdullah bin Sultan bin Awad al Nuaimi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe 2 Februari, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia atashiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na kushiriki Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).
Home
HABARI
Rais Samia awasili Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kushiriki Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...