JUMATANO ya ushindi na Meridianbet imefika, Timu zote zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya UEFA mkondo wa pili kuchezawa leo. Wewe unachotakiwa kufanya ni kubashiri na Meridianbet.

Atalanta atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani ambapo mechi ya mkondo wa kwanza wlaipokutana, wenyeji walipoteza. Mechi hii ya leo ndio mechi ya maamuzi nani kwenda hatua ya 16 bora na nani kubaki. Meridianbet wanakwambia kuwa kwenye mechi hii unaweza ukapiga mkwanja mrefu. Ingia na ubeti sasa.

Mechi nyingine ni ile inayowakutanisha kati ya Juventus vs Galatasaray kutoka kule Uturuki. Mechi ya Mkondo wa kwanza Bibi Kizee alipoteza kwa mabao 5-2 hivyo siku ya leo akiwa nyumbani pale Allianz anahitaji kupindua meza dhidi ya wababe hawa wa Instanbul. Je wenyeji wanaweza kushinda zaidi ya mabao 4 ili wasinge hatua inayofuata ya michuano hii?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Jisajili hapa.

Pesa ni rahisi ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Bingwa mtetezi wa Kombe hili, PSG baada ya kushinda mechi yake ya mkondo wa kwanza dhidi ya AS Monaco leo hii atakuwa akitaka kushinda lakini pia ikiwezekana kulinda huu ushindi kwani tayari ameshatanguliza mguu mmoja hatua ya 16 bora. Vijana wa Enrique wanahitaji kutetea taji lao. Je watawazuia?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri hapa.

Nao mabingwa mara nyingi wa michuano hii Real Madrid watakuwa dimbani kumenyana vikali dhidi ya Benfica kutoka kule Ureno. Mechi ya mkondo wa kwanza ilimalizika kwa vijana hao wa Arbeloa kupata ushindi wa bao 1-0, goli la Viniciuz JR ndio liliwafanya wabebe pointi 3. Je vijana wa Mourinho wanaweza kuwazuia leo hii kushinda pale Bernabeu?. Suka jamvi hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...