LEO hii tutaangazia timu ya Bodoe/Glimt kutoka kule Norway ambayo ilishika vichwa siku hizi hivi karibuni kwenye ligi ya mabingwa baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya 16 ya UEFA.

Ligi kuu ya Norway yaani Eliteserien ndio kwanza imeanza ambapo mpaka sasa ni mechi mbili pekee zimechezwa huku bingwa mtetezi Bodoe/Glimt akiwa hajacheza mechi moja hadi sasa ambapo hilo litampa nafasi ya kufikiri vyema mechi hizo ataanzaje.

Bodoe/Glimt ni moja ya timu ambazo zinapigiwa chapuo kufanya vyema kwenye ligi hiyo ambayo ina shirikisha timu 16 kwenye ligi ambazo zote hupambana kwa hali na mali kubaki kwenye ligi huku zingine zikisaka nafasi ya kucheza Ligi ya Mbaingwa Ulaya.

Timu ya Norway hutoa timu mbili tuuh za kushiriki UEFA yaani zile zinazoshika nafasi ya 1 na ya 2 hivyo ili kushiriki michuano hiyo inabidi uhakikishe unamaliza nafasi mbili za juu pekee na ndivyo walivyofanya mabingwa hawa watetezi wa ligi hiyo.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kabla ya kuanza kwa msimu, Bodø/Glimt walifanya usajili wa wachezaji wenye uwezo wa kuongeza nguvu kwenye kikosi. Hii inawapa kocha fursa ya kubadilisha mbinu kulingana na mpinzani, na kuongeza mbadala wa wachezaji wanaoweza kuleta ushindi wakati wowote. Je unajua Meridianbet inatoa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000?. Bashiri sasa.

Msimu huu, chini ya kocha Kjetil Knutsen wana fursa i kubwa ikiwa watatumia muda wao wa kujiandaa vyema kabla ya mechi zao za kwanza, wanaweza kuanza msimu kwa mafanikio, kuonyesha uthabiti na kujenga morali ya juu kwa kikosi chao.

Mechi ya kwanza ya ligi, Bodoe/Glimt ataanzia ugenini dhidi ya Kristiansund ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mwenyeji apokea kichapo cha hatari zaidi yaani 7-1, huku leo hii wakiwa nyumbani wanataka kulipa kisasi.

Lakini pia ubora wa klabu hii unatengenezwa na kikosi kizima ambacho kwa pamoja wamezoeana vyema kabisa hii pia imefanya nchi hii ya Norway kufuzu kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026 kwani karibu 99% ya kikosi kinacheza timu hii.

Kwenye UEFA msimu huu Bodø/Glimt pia walikuwa timu tishia kwelikweli kwani waliweza kuzifunga timu kubwa ambazo hakuna ambaye alitarajia wataweza kupata matokeo hayo.

Kwanza waliifunga timu ya Manchester City chini ya Pep Guardiola kwa mshangao mkubwa kabisa hakuna ambaye alidhani akuwa wanaweza kupata matokeo hayo. Wakaja wakamfunga Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wanafanya vizuri kule Hispania.

Bodoe/Glimt ilifanikiwa kufika hatua ya 16 bora ambapo walipangwa kucheza dhidi ya Inter Milan, na mchezo wa kwanza walipata ushindi wa 3-1, lakini bado watu walitarajia timu hii ingeweza kwenda kutolewa pale Sansiro. Cha ajabu ni kwamba mechi ya mkondo wa pili walishinda pia kwa bao 2-1 na kufanya Aggregate kuwa 5-2.

Timu hiyo ilifanikiwa kusonga mbele hadi kwenye hatua ya Robo Fainali ambapo walipangiwa kucheza dhidi ya Sporting CP ya kule Ureno na mechi ya kwanza walianzania nyumbani na kama kawaida walitumia uwanja wao wa nyumbani vizuri kabisa ana wakashinda kwa kishindo mabao 3-0.

Kimbembe kilikuja kule waliposafafiri kwenda Ureno na ndipo ndoto zao zilipokufa za kusonga mbele kwani mechi hiyo ya mkondo wa pili ilimalizika kwa wao kufungwa mabao 5-0, yaani bila hata kufunga bao lolote na kutupwa nje ya mahsindnao haya makubwa Barani Ulaya.

Je msimu huu Bodoe/Glimt atamaliza nafasi ya napi kwenye ligi?. Na je anaweza akafika nafasi ipi endapo akishiriki michuano hii ya Uefa?. Jisajili na ubashiri mechi za ligi kuu ya Norway na Meridianbet.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...