
HII ni habari kubwa kwa wabashiri wote na mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni Tanzania. Kama umewahi kubashiri na kuishia tu kupata matokeo ya mkeka wako bila faida ya ziada, sasa muda wa kubadili mchezo umefika. Kupitia ushirikiano kati ya Meridianbet na Mixx by Yas, kampeni mpya ya JIMIXX inaleta mapinduzi halisi kwa wateja wote wanaohitaji zaidi ya kawaida.
Promosheni hii ya kipekee iitwayo JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa ilianza tangu Januari 27 na itaendelea hadi Aprili 27, 2026. Hapa kila dau lina thamani zaidi, maana linaweza kukuingiza kwenye ushindi wa zawadi halisi kila siku, kila wiki na hata zawadi kubwa za mwisho wa kampeni. Huu sio ubashiri wa kawaida, huu ni ubashiri wenye faida ya ziada.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa kuweka dau la Tsh 5,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Mixx by Yas, unajifungulia moja kwa moja mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios. Hii inamaanisha burudani zaidi, nafasi zaidi za kushinda, na thamani kubwa kwa kila shilingi unayowekeza.
Kila siku kuna zawadi za mizunguko ya bure, huku kila wiki washindi wakijinyakulia simu mpya za kisasa Samsung A26. Na mwisho wa promosheni, zawadi kuu zinawekwa mezani, ikiwa ni Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer, pamoja na TV za Hisense inch 55. Hizi ni zawadi zinazobadilisha maisha.
Kushiriki ni rahisi sana. Weka pesa kupitia Mixx Super App au piga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999 na kiasi unachotaka. Droo za wiki zinachezwa kila Jumatano na Ijumaa. Huu ndio wakati wako wa kujiunga na Meridianbet na kuonja Ushindi Bab Kubwa kupitia JIMIXX, kwa sababu ushindi ni mkubwa zaidi uki-JIMIXX.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...